Monday, November 1, 2010

TANDIKA HALI TETE, WADAI MATOKEO

Maaskari wa kikosi ya kutuliza ghasia wakiwatawanya wananchi waliojikusanya mitaani maeneo la Tandika baada ya kutokea machafuko mapema leo yaliyosababishwa na wafuasi wa vyama waliokuwa wakitaka kujua kwa matokeo ya kura walizopiga baada ya kucheleweshwa kwa siku nzima. .
Kikosi cha askari wa FFU kikiwa doria maeneo ya Tandika sokoni Jijini Dar es Salaam, baada ya kutokea vurugu zilizosababisha askari hao kupiga mabomu ya machozi ambapo watu kadhaa wameripotiwa kuumia

MKURUGENZI wa Manispaa ya Kinondoni, Raphael Ndunguru, akizungumza na wanahabari ofisini kwake leo mchana juu ya matokeo ya uchaguzi katika majimbo ya wilaya yake.

No comments:

Post a Comment