Thursday, February 16, 2012

Ngurdoto Museums at Arusha National Park

                                                               Hili ni fuvu la kiboko

                                                                      Bundi

                                                                    fuvu la faru
                                                          Picha ya mlima ulivyo
                                                           Njia za kufika mlima meru
                                                              vipepeo
                                                                         ndege
                                                                       njiwa ama kizungu pigeon
                                                                    panya buku                                      panya buku wanatumika sana kwenye uteguzi wa mabomu

Monday, February 13, 2012

RAIS KIKWETE AONGOZA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCM MJINI DODOMA JANA

 

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete (wa tatu kulia) akiwa meza kuu na Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Shein (wa pili kushoto), Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) na Rais Mstaafu  wa Zanzibar Dkt Amani Abeid Karume (wa tatu kushoto), Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi (wa kwanza kushoto), Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mh Pius Msekwa (wa kwanza kulia) na Katibu Mkuu wa CCM Mh Wilson Mkama (wa pili kulia) kabla ya kuanza kwa mkutano wa Halmashauri Kuu jana katika jengo la White House la Makao Makuu ya chama hicho mjini Dodoma.…

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete (wa tatu kulia) akiwa meza kuu na Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Shein (wa pili kushoto), Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) na Rais Mstaafu  wa Zanzibar Dkt Amani Abeid Karume (wa tatu kushoto), Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi (wa kwanza kushoto), Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mh Pius Msekwa (wa kwanza kulia) na Katibu Mkuu wa CCM Mh Wilson Mkama (wa pili kulia) kabla ya kuanza kwa mkutano wa Halmashauri Kuu jana katika jengo la White House la Makao Makuu ya chama hicho mjini Dodoma.
Sehemu ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM katika mkutano huo jana.
 
 PICHA ZOTE NA HERMAN

Chipolopolo oyeeeee

Hatimaye siku ya jana ilikuwa ni siku nzuri sana kwa timu ya zambia a.k.a wana chipolopolo kuweza kutwaa kombe lao na kudedicate ushindi huo kwa kuwakumbuka wenzao walipata ajali huko gabon.