Thursday, August 19, 2010

Wajameni ndugu zanguni

Ningependa kuwajulia hali kwa siku chache zilizopita mana vijana mnajituma sana na jambo lingine nisije lisahau ni kuwahimiza vijana wote kuweza kutumia haki yetu ya kimsingi ya kupiga kura na kuondokana na viongozi magumashi ambao wanatuumiza tuu na kutupigia poroja wakati wa kuomba kura kwetu,ni salamu zangu tuu kwako mjomba.mfuingo mwema wa ramadhani.

Monday, August 16, 2010

blue monday

Niko mdau wa long time kutoka pande za moshi Omari idd ama kwa kijana anapiga kazi sio mchezo na kwa wale wenye mahitaji ya simu za samsung orijino kabisa dont hesitate to contact me

Sunday, August 15, 2010

Superb Weekend

Natumai wadau wote mlikuwa  na weekend mwanana sana,nawatakia weekday yenye kila heri na fanaka.ciao

Breeking News

Good NEWS!!!!
For those who have computer problem related to hardware and software,or any other problem your are welcome.

Wadau

Haya ndugu zanguni wa blog hii ya mwampyate mzigo mkali na wakusisimua utakuwa mezani muda sio mrefu ss tuko katika  maandalizi kabambe wa kuhakikisha mnapata kitu chenye ubora hali ya juu na mapicha makali na mahabari toka mafichoni yani mtafurahia sana.

Karibuni wana javini

Ni siku ya jumapili tulivu kijana wenu mstaarabu nikiwa nimempumzika kwa geto lenye kila aina ya maheya fresh huu ni mwanzo ila tegemeeni kupata mambo motomoto na habari kalikali toka kila pande za  arusha ama ar chuga,a town hayo yote majina unaweza kuyaita.