Monday, February 13, 2012

RAIS KIKWETE AONGOZA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCM MJINI DODOMA JANA

 

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete (wa tatu kulia) akiwa meza kuu na Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Shein (wa pili kushoto), Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) na Rais Mstaafu  wa Zanzibar Dkt Amani Abeid Karume (wa tatu kushoto), Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi (wa kwanza kushoto), Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mh Pius Msekwa (wa kwanza kulia) na Katibu Mkuu wa CCM Mh Wilson Mkama (wa pili kulia) kabla ya kuanza kwa mkutano wa Halmashauri Kuu jana katika jengo la White House la Makao Makuu ya chama hicho mjini Dodoma.…

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete (wa tatu kulia) akiwa meza kuu na Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Shein (wa pili kushoto), Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) na Rais Mstaafu  wa Zanzibar Dkt Amani Abeid Karume (wa tatu kushoto), Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi (wa kwanza kushoto), Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mh Pius Msekwa (wa kwanza kulia) na Katibu Mkuu wa CCM Mh Wilson Mkama (wa pili kulia) kabla ya kuanza kwa mkutano wa Halmashauri Kuu jana katika jengo la White House la Makao Makuu ya chama hicho mjini Dodoma.
Sehemu ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM katika mkutano huo jana.
 
 PICHA ZOTE NA HERMAN

No comments:

Post a Comment