Hili ni fuvu la kiboko
Bundi
fuvu la faru
Picha ya mlima ulivyo
Njia za kufika mlima meru
vipepeo
ndege
njiwa ama kizungu pigeon
panya buku
panya buku wanatumika sana kwenye uteguzi wa mabomu
Thursday, February 16, 2012
Monday, February 13, 2012
RAIS KIKWETE AONGOZA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCM MJINI DODOMA JANA
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete (wa tatu kulia) akiwa meza kuu na Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Shein (wa pili kushoto), Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt Amani Abeid Karume (wa tatu kushoto), Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi (wa kwanza kushoto), Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mh Pius Msekwa (wa kwanza kulia) na Katibu Mkuu wa CCM Mh Wilson Mkama (wa pili kulia) kabla ya kuanza kwa mkutano wa Halmashauri Kuu jana katika jengo la White House la Makao Makuu ya chama hicho mjini Dodoma.…
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete (wa tatu kulia) akiwa meza kuu na Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Shein (wa pili kushoto), Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt Amani Abeid Karume (wa tatu kushoto), Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi (wa kwanza kushoto), Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mh Pius Msekwa (wa kwanza kulia) na Katibu Mkuu wa CCM Mh Wilson Mkama (wa pili kulia) kabla ya kuanza kwa mkutano wa Halmashauri Kuu jana katika jengo la White House la Makao Makuu ya chama hicho mjini Dodoma.
Sehemu ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM katika mkutano huo jana.
PICHA ZOTE NA HERMAN
Sehemu ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM katika mkutano huo jana.
PICHA ZOTE NA HERMAN
Chipolopolo oyeeeee
Hatimaye siku ya jana ilikuwa ni siku nzuri sana kwa timu ya zambia a.k.a wana chipolopolo kuweza kutwaa kombe lao na kudedicate ushindi huo kwa kuwakumbuka wenzao walipata ajali huko gabon.
Subscribe to:
Posts (Atom)