Thursday, August 19, 2010

Wajameni ndugu zanguni

Ningependa kuwajulia hali kwa siku chache zilizopita mana vijana mnajituma sana na jambo lingine nisije lisahau ni kuwahimiza vijana wote kuweza kutumia haki yetu ya kimsingi ya kupiga kura na kuondokana na viongozi magumashi ambao wanatuumiza tuu na kutupigia poroja wakati wa kuomba kura kwetu,ni salamu zangu tuu kwako mjomba.mfuingo mwema wa ramadhani.

No comments:

Post a Comment